Sadari
Ah! Eti nikuite hodari
Ukileta kipepeo nikupepee
Stimu zinawaza kwenda mbali
Na mimi nikate koba nitembee
Maisha yangu sadari
Kutwa kukimbizana na wazee
Sometimes kabari gizani
Ah, kona nishakuwacha Lacoste
Ah, ninapochana sijivungi ma
Unataka B-day nikusposti
Kaacha tochi nyuma, kifungi mama