Diamond Platnumz — Waah

Diamond Platnumz Waah

Текст песни

Anachukua anaweka Waah!

(Le général Dangote)

Anachukua anaweka Waah!

(Le grand Mopao)

Anachukua anaweka Waah!

(Osiamboka)

Anachukua anaweka Waah!

 

Kaghamu kupendwa nawe

Kaghamu nasikia

Tamu kupendwa nawe

Tamu kupendwa nawe, tamuuu

Tamu kupendwa nawe

 

Oh maneno maneno, tumeyazoea

Vijineno neno, tushazoea

Wapenzi wangu ku-party

Kwani ninawahusu

Shepu yake mbaya, hivi inawahusu

Udangaji umalaya, wao inawahusu nini

Wamegusa pabaya na mwaka huu

Lazima wachuchumae

 

Wameingia cha kike (Eh waah!)

Cha kike

Wameingia cha kike

Cha cha cha kike (Twale!)

Wameingia cha kike (kwa penzi letu)

Cha kike (lazima watuchomai)

Wameingia cha kike (kwa penzi letu)

Cha cha cha kike

 

Aaah Bakokote, Babu Tale

Don Mendez, Ba Juni eti Ba Juni

 

Chumbani Hennessy

Hunipatia panadol

Kuchenga za Messi

Na mashuti ya Ronaldo

 

Yaani ndani nikiingia tu

(Anachukua anaweka Waah!)

Ah, kwenye gari

(Anachukua anaweka Waah!)

Iwe jikoni ama varandani

(Anachukua anaweka Waah!)

Doze doze, doze doze

(Anachukua anaweka Waah!)

 

Yaani baadae salama joto

Toa leso nipepepee

Oya kombo joto

Toa leso nipepepee

 

Oya mzee kunami, jipepee

Oh Ricardo Momo, jipepee

Oya mama Ndangote, jipepee

Eeh Doni Fumbwe, jipepee

 

Juu juu, jipepee

Juu juu juu, jipepee

Juu juu, jipepee

Juu juu juu, jipepee

 

[Koffi Olomide]

[...]

Fukama, fukama

Fukama, fukama

 

Papa mobinga, ya

Papa mobinga, ye

Papa mobinga, ya

Papa mobinga, ye

[...]

 

Eeeh aaah!!

Eeeh, weeeh!!

 

Usiniguse, usinitouch

Tusalimiane kwa miguu

(Usiniguse, usinitouch

Tusalimiane kwa miguu)

 

Ooh nasema usiniguse, usinitouch

Salamu iwe kwa miguu

(Usiniguse, usinitouch

Tusalimiane kwa miguu)

 

Ooh kwanza kaa mbali

Corona coro, corona coro

Mwenzako naogopa

Corona coro, corona coro

 

Kwa tena vaa maski

Corona coro, corona coro

Mikono yako kuosha

Corona coro, corona coro

 
Iyo Lizer!
 

Клип «Waah»

Видеоролики хранятся и модерируются сервисом YouTube. Отказ от ответственности

Заказать перевод Прислать свой вариант перевода

Текст песни Diamond Platnumz Waah предоставлен в ознакомительных целях для личного развития.