Тексты и переводы песен

Utanipenda

Tantararaaaaa
Oooh nanananaanaaa
Hmm
 
Oh ghafla visenti sina nimerudi Tandale
Nimeshindwa kulipa bima nimeuza Madale
Redio nyimbo wamezima, TV ndio hatare
Umeneja umebaki jina, hanitaki hata tale
Oooh wale shabiki zangu walonisifu kwa maneno matamu
Leo maadui zangu ni mitusi tu kwa instagramu
Kimwana si dada angu? Eti nae hanifahamu
Hata Harmonize nikimpigia ananifokea kama Sallaam
Na magazeti ya nyumbani kwa kukuza habari si unajuaga
Utasikia tafarani eti Mondi kwa Zari amemwagwa
Na venye nilivyo mnyonge tabia ya kuwajibu sinaga
Kama naiona michambo ya mademu wa zamani nliowapitiaga
 
Ooh nayosema yana maana
sababu hakuna anayejua kesho
Anayepanga ni rabana
ila ameificha ni confidential
Ukisali omba sana
mumeo nisije kuwa kichekesho
Maana rafiki wa jana aah!
Ndio adui mkubwa wa kesho
 
La la la la la laaaaa
Au je utanipendaga?
La la la la laaa
Au nawe utanimwaga?
La la la la laaaa
Ati utanipenda gaa ooh?
La la la la laaa
Ooooh
 
Ooo, bado naiwaza sana
Zile tunzo mashauzi airport
Je itapofika tama
Utadiriki hata japo kunipost
Pindi show zimekwama
Na nikipata sijazi ni mikosi
Oooh jahazi limezama
Mora ninusuru baba
 
Kama namuona mwanangu, roho yangu
Tiffah Dangote
Anakwenda na mama angu
Kwa Jakaya Kikwete anafukuzwa atoke
Usilie Sandra wangu, mboni yangu
Jikaze usichoke
Huenda kesho zamu yangu
Nitavuma tena mambo yanyooke
Eeeey
 
Na magazeti ya nyumbani kwa kukuza habari si unajuaga
Utasikia tafarani eti Mondi kwa Zari amemwagwa (oh yeleuwi!)
Na venye nilivyo mnyonge tabia ya kuwajibu sinaga
Kama naiona michambo ya mademu wa zamani yaani kedekede
 
La la la la laaaaaa (eeeh)
(Ola lala la laaaa laa)
La la la la laaa
(Ooh ola la la laaaa)
La la la la la alaaaa
Eeeh, ola la la lilaa ooh
I said
 
Kama namuona mwanangu, roho yangu
Tiffa Dangote
Anakwenda na mama angu
Kwa Mkubwa Fela anafukuzwa atoke
Usilie Sandra wangu, mboni yangu
Jikaze usichoke
Huenda kesho zamu yangu
Nitavuma tena mambo yanyooke (he he he)
Eeeey
 
Ola lala lila oh
Oooh baby
(Tudy Thomaas)
 
Ooh ninayosema yana maana
Sababu hakuna anaejua kesho
Anaepanga ni rabana
Ila ameificha ni confidential
Ukisali omba sana
Mumeo nisije kuwa kichekesho
Maana rafiki wa jana
Ndio adui mkubwa kesho
 
WASAFI!
 

Понравилась песня? Будем очень благодарны, если вы расскажете о ней друзьям:



Послушать песню и посмотреть клип "Utanipenda"

Видеоклипы к песне подбираются автоматически сайтом youtube.com. Отказ от ответственности

Текст песни Diamond Platnumz Utanipenda предоставлен в ознакомительных целях для личного развития.