Diamond Platnumz — Penseli

Diamond Platnumz Penseli

Текст песни

Ah rafiki ndugu na jamaa zangu wanalalamika

Msamaria wa leo amebadilikaga

Facebook yuko hewani kila muda utamuona

Hatakujibu na hata ukiandika

 

Ah wengine wanadai

Aliniomba namba whatsapp nikanyima

Hajui kwamba ni hatari

Hata simu ya kuchat naazima

 

Wengine ati nawasahau

Wengine ati nawadharau

Sababu superstar wa mda mdogo

 

Ooh wamesahau mziki wa Abuja

Ni michosho michosho tu

Natoa changu mfukoni

Siingizi kitu walahi

 

Ah najihisi raha

Naposkia nyimbo zangu kitaani

Ila roho inauma

Napo guza mfukoni aah

 

Tararara raa..Tararara raa

Wanafunzwa na umaarufu wangu

Tararara raa..

Oooh nisaidie Maulana

 

Mara rafiki anichukie

Anaponiomba vocha nisipompatia

Hataji Mungu aninunie

Pale anaponibeep nisimpo mpigie

 

Wana mateja wanitinge

Nikirudi nyumbani Nyakara

Wanigonge gonge ngumi

Kisa wamekuta ufukoni sina hela

 

Msamaria na meneja

Wenye pesa nyumba na gari kali

Jamani vile sio vyangu

Sina hata baiskeli natembea kwa mguu

 

Shabiki haamini

Pale tunapokutana

Anitegemea kuona mng'aro

Kulingana jinsi navyojulikana

 

Ah mziki wa Buja haulipi kiufupi

Meneja wangu anajituma

Ili aone kama nitatoboa tundu

Niwe kama wengine

 

Ila lala

Tatizo ni copy za studio za utani

Na tarara

Na nyimbo feki feki ndo zimezagaa

 

Najihisi raha

Naposkia nyimbo zangu kitaani

Ila roho inauma

Napo guza mfukoni aah

 

Tararara raa tararara raa

Oooh tantarara tararara raa

Eeeh Mola wangu nisaidie

Tararara raa

Heart ya mwenzetu inaumia

Tararara raa tararara raa

 

Клип «Penseli»

Видеоролики хранятся и модерируются сервисом YouTube. Отказ от ответственности

Заказать перевод Прислать свой вариант перевода

Текст песни Diamond Platnumz Penseli предоставлен в ознакомительных целях для личного развития.