Number One
Kwanza mapenzi safari
Ujana ni maji ya moto
Walinenaga zamani
Pili tumetoka mbali
Kwa matatizo changamoto
Tuvisa visa fulani
Oooh tatu kidonda chako kwangu maradhii
Maa tu usononekapo kwangu simanzi
Aiih, tatu kidonda chako kwangu maradhii
Ooh yaani usononekapo kwangu simanzi
Kwa mahaba ulionipa nimenogewa
Vurugu patashika, aih, punguza kidogo
Na mengine kadhalikaa mtoto si unanielewaa!
Apo apo uliposhika ukiongeza kidogo!
Mmmh mwenzako ntaumiaa!
You are my number one (my sweety sweety)
My number one (my baby ooh)
You are my number one (oh, my darling)
My number one (ooh roho yangu mama)
Na nina wivu sikatai
Maana uchungu wa mapenzi naujua
So usije kunilaghai
Ukaacha kuzama ukanizingua
Na nina wivu sikatai
Maana uchungu wa mapenzi naujua
So usije kunilaghai
Mwenizio naogopa
Now show me how they do Ngololo ah
Ngololo aih, Ngololo, Ngololo
Ngololo, Ngololo aih
Now show me how they do Ngololo ah
Ngololo aih, Ngololo, Ngololo
Ngololo, Ngololo
Oh baby you are
You are my number one (my sweety sweety)
My number one (my baby ooh)
You are my number one (oh, my darling)
My number one (ooh roho yangu mama)
Baby you are...
Now show me how you do Ngololo ah
Ngololo aih, Ngololo, Ngololo
Ngololo, Ngololo aih
Now show me how you do ah
Aghhhha aikoloo
Na watuache tulale