Тексты и переводы песен

Nasema Nawe

Hallooo…
Weweweaah…
 
Aah
Kutwa viguru njiani majirani wote wamekuchokaa
Mara chumba cha fulani mtu gani we kwako usio kaa
Washinda vibarazani vya wenzako kuropoka
Ukome mwana fulani ona uso ulivyo kukoboka
Sio mwisho vibaoni hadi kwenye vigodoro
Usio na haya usoni kote wazua migogoro
Hivi wee haujioni kuwa una kasoro
Usio mchana jioni si wajuzi si tomorrow
Sio mwisho vibaooni kwenye vigodoro
Usio na haya usoni kote wazua migogoro
Hivi wee haujioni kuwa una kasoro
Usio mchana jioni si wajuzi si aah
 
Nasema nawe (nasema nawe)
Nasema nawe (nasema nawe)
Nasema nawe (nasema nawe)
Usio haya nasema nawe
Umezoea (nasema na wewe)
Chezea chezea (nasema nawe)
Umezidi (nasema nawe)
Zizi, zidi (nimechoka nasema nawe)
 
[Khadija Kopa]
Huna haya ka kibakuli cha vumba
Popote unajitokeza babu eee
Haa, we kichoji tu
Unaingia kwenye kundi la ninga
Utachanika mabawa
 
Hmmm ah
Zingifuli zingifuli ungezinga mahala ukakaa
Usio mila desturi usio jua tongozwa ukakataa
Usio hiyana fedhuri uongo umekujaa
Kujifanya mashuhuri kumbe chaka umechaka aga
Mwenzako mi ni turufu si garasa
Mwenye nyota ya umaarufu si kupapasa
Tena jokali la nguvu pakarata
Lile hodari maguvu si kwasa kwasa
Ooh mwenzako mi ni turufu si garasa
Mwenye nyota ya umaarufu si hozakoza aah
 
Nasema nawe (ona wewe)
Nasema nawe (nawe)
Nasema nawe
Usio haya nasema nawe
 
Nasema nawe
Nasema nawe
Nasema nawe
Nimechoka nasema nawe
 
Umezoea (nasema na wewe)
Chezea chezea (nasema nawe)
Umezidi (nasema nawe)
Zizi, zidi ooh (usio haya nasema nawe)
 
Nasema nawe (ona wewe)
Nasema nawe (ooh)
Nasema nawe
Nimechoka nasema nawe
 
[Khadija Kopa]
Wewee umejifunza ngumi leo wataka upigane na Tyson?
Haah!
 
Ale kata kata kakata katika si kata
Oh teteme teteme (kata)
Wenye kusema waseme (kata)
Ale kata kata kakata katika si
Kata kiuno chako mwenyewe (kata)
Mola amekupa wewe (kata)
Tena vya kili kilali (kata)
Nipe vya bara na pwani (kata)
Vile vya nje na ndani (kata)
Tumkomeshe fulani (kata)
Tena vya kili kilali (kata)
Nipe vya bara na pwani (kata)
Vya nje na ndani (kata)
Akome fulani (kata)
 
[Khadija Kopa]
Hallooo haa
Utavunjia ma-apple mwaka huu
Maana nazi zimepanda ma bei aaah
Heheey
 
Toa basi!
 
Ninasema nawe (ona wewe)
Nasema nawe (nawe)
Nasema nawe
Usio haya nasema nawe (wewe)
 
Nasema na wewe
Nasema nawe (nawe)
Nasema nawe
Nimechoka nasema nawe
 
Umezoea (nasema nawe)
Chezea chezea (nasema nawe)
Ooh nasema nawe
usio haya nasema na wewe (nasema nawe)
 
Nasema na wewe (nasema nawe)
nasema na wewe (nasema nawe)
Nasema nawe nimechoka nasema nawe oooh
 
Wewe weaaah kata kata…
 

Понравилась песня? Будем очень благодарны, если вы расскажете о ней друзьям:



Послушать песню и посмотреть клип "Nasema Nawe"

Видеоклипы к песне подбираются автоматически сайтом youtube.com. Отказ от ответственности

Текст песни Diamond Platnumz Nasema Nawe предоставлен в ознакомительных целях для личного развития.