Тексты и переводы песен

Nalia na Mengi

Mi niliambiwa mapenzi ni kama bahari
Ukishazama ndo basi umepotea
Kumbe mwenzangu alikuwa anatamani
Badala ya kuzama mi kwangu akaelea
 
Akawa ananidanganya
Nikiwa nadhani ananipenda sana
Mikwanja nikamwaga mama
Japo sio kivile ila hakuongea mana
Akawa ananidanganya
Nikiwa nadhani ananipenda sana
Mbona mifedha nikamwaga mama
Japo sio kivile ila hakuongea mana
 
Wakaja wajinga wakamchukua
Waka-muhongahonga mwisho wakamnunua
Wajinga wakamchukua
Waka-muhongahonga mwisho wakamnunua
Ay ay ay ay aaaa
 
Usinione nalia usinione nalia
Mwenzenu nalia na mengi
Usinone nalia nalia sababu ya mapenzi
Mwenzenu nalia nalia nalia na mengi
Uuuh jamani nalia nalia sababu ya mapenzi
 
Najua alimaanisha kuwa simfai
Ila lakini angesema
Kuliko alichofanya me akantoa nishai
Akanimeza akanitema
Nyie mapenzi yanauma vibaya vibaya vibaya
Mmh mapenzi yanauma vibaya vibaya vibaya
 
Ile gafra safari ndio inanifanya na usingizi sipati
Huwa nakumbuka mbali
Hasa nikisikia harufu yake ya marashi
Mi kwa uchungu nilivyoumia aah
Nikaandika hili song la mwondoko nalia
Na voko nikaingiza kwa hisia na imani
Ipo siku nyimbo itamfikia
Mi kwa uchungu nilivyoumia mie
Nikaandika song la mwondoko nalia
Na voko nikaingiza kwa hisia na imani
Ipo siku nyimbo itamfikia aah aah ah
Yeah
 
Usinione nalia usinione nalia
Mwenzenu nalia na mengi
Usinione nalia nalia sababu ya mapenzi
Mwenzenu nalia nalia nalia na mengi
Oooh jamani nalia nalia sababu ya mapenzi
 
Usione nakosa raha mama nalalama kwako mara kadhaa
We ni msaada kwenye tuta so ukichomoka balaa
Sijiwezi kwangu giza naweza kimbiza na hii taa
Na hilo unajua inavyoumiza ushashuhudia mara kadhaa
....wezi wakung'ang'anie ninung'unike nilie
Njia yetu moja niache nipite si ukasimulie
... ya kinyamwezi na swaga zako juu
Na miguu napata picha kitandani kungfu
Uko juu ukipita lazima wasome namba
We ndo kibri fimbo kiboko ya midomo mamba
Huu ndo mfano hata unajua neno pamba si
Kwa kitambo ntakulinda kama mkinga mwenye shamba
Mikogo kila leo ntajigamba...
Kisela piga teke inauma...
usiombe map
 

Понравилась песня? Будем очень благодарны, если вы расскажете о ней друзьям:



Послушать песню и посмотреть клип "Nalia na Mengi"

Видеоклипы к песне подбираются автоматически сайтом youtube.com. Отказ от ответственности

Текст песни Diamond Platnumz Nalia na Mengi предоставлен в ознакомительных целях для личного развития.