Diamond Platnumz — Kwanini

Diamond Platnumz Kwanini

Текст песни

Usinione nalia, moyoni naumia

Kila siku maugomvi, unanukia mabia

Ina maana unataka useme umuhimu wangu hautambui

Thamani ya mapenzi ndo imegeuka kuwa adui

 

Nikakuimbia nyimbo bado

Nikakupa moyo bado

Nikakupa life na true love ila baby bado

Nimekuimbia nyimbo bado

Nikakupa moyo bado

Nikakupa life na true love ila baby bado

 

Ukose raha

Kisa, kupendwa nawe

Kwanini ukose raha?

Kisa, kupendwa nawe

Kwanini ukose raha?

Kisa, kupendwa nawe

Kwanini ukose raha?

Kisa, kupendwa nawe

 

Nishachoshwa na haya mapenzi

Visa mara mia kwa mwezi

Mara leo limekwisha hili

Kesho kutwa tena ghafla limezuka tena jingine

Choshwa na haya mapenzi

Visa mara mia kwa mwezi

Leo limekwisha hili, kesho lingine

You just don’t know naumia umia umia umia umia

You don’t know naumia umia umia umia umia

 

Kwanini ukose raha?

Kisa, kupendwa nawe

Kwanini ukose raha?

Kisa, kupendwa nawe

 

Клип «Kwanini»

Видеоролики хранятся и модерируются сервисом YouTube. Отказ от ответственности

Заказать перевод Прислать свой вариант перевода

Текст песни Diamond Platnumz Kwanini предоставлен в ознакомительных целях для личного развития.