Diamond Platnumz — Kamwambie

Diamond Platnumz Kamwambie

Текст песни

Nenda kamwambie

Jinsi navyo mpenda mi

Na kama mapenzi bado

Mwambie ntayaongeza mi

Nasema kamwambie

Jinsi navyo mpenda mi

Na kama mapenzi bado

Mwambie ntayaongeza mi

Jinsi navyo mpenda mi

 

Sio ningie mori, nyota, na mbala mwezi

Kwa vile mali yake yeye

Natamani ila tatizo siwezi

Labda ingefanya nielewe

Si alinifunza mapenzi

Nilikuwa sijui kamwambie

Akanidekeza kishenzi

Kwa nyimbo nzuri nimwimbie

 

So asidanganywe na gari burudani na fedha

Mimi akanichukia

Akalishusa thamani penzi nalompenda

Kisa mvinyo na bia

Asidanganywe na gari burudani na fedha

Mimi akanichukia

Mmmh, mwambie asisikie mapenzi

Moyo wangu unaumia, eeh

 

Nenda kamwambie

Jinsi navyo mpenda mi

Na kama mapenzi bado

Mwambie ntayaongeza mi

Nasema kamwambie

Jinsi navyo mpenda mi

Na kama mapenzi bado

Mwambie ntayaongeza mi

Jinsi navyo mpenda mi

 

Nasema siku hizi hakuna fungate

Mapenzi hayana thamani

Hivyo mwambie wanaopenda wachache

Wengi watamani

Uuuh, wanaanzaga kwa tafadhali

Wakishapewa wanapotea

Mmh, nenda mwambie ajihadhari

Na dua njema nawombea

 

So asidanganywe na gari burudani na fedha

Mimi akanichukia

Akalishusa thamani penzi nalompenda

Kisa mvinyo na bia

Asidanganywe na gari burudani na fedha

Mimi akanichukia

Mmmh, mwambie asisikie mapenzi

Moyo wangu unaumia, eeh

 
Akamwambie, mwambie, mwambie...
 

Nenda kamwambie

Jinsi navyo mpenda mi

Na kama mapenzi bado

Mwambie ntayaongeza mi

Nasema kamwambie

Jinsi navyo mpenda mi

Na kama mapenzi bado

Mwambie ntayaongeza mi

Jinsi navyo mpenda mi

 

Yeah, I was being around

But thanks Bob Junior

Mr Chocolate Flava

Now I am here

Sharoboo records, records, records

It's Diamond Platinumz baby

Yeah, holla back ladies!

It's time to hang on to your love

 

Клип «Kamwambie»

Видеоролики хранятся и модерируются сервисом YouTube. Отказ от ответственности

Заказать перевод Прислать свой вариант перевода

Текст песни Diamond Platnumz Kamwambie предоставлен в ознакомительных целях для личного развития.