Тексты и переводы песен

Kamata

Kamata kamata kamatika kamata
Kamata kamata mpaka chini kamata
Kamata kamata kamatika kamata
Kamata kamata mpaka chini kamata
 
Kamata kiuno kamata bega
Kamamta kichwa ka ndoo unabeba
Kamata kimini chalegalega
Ooh maana cha shuka chini unanitega
 
Aah mah ya leo kiboko
Mwali kanipa nyama kwa kisamvu cha kopo
Ana komesha toto
Nami naleta nyundo nimtwange kokoto
 
Nasema kamata kamata kamatika kamata
Kamata kamata mpaka chini kamata
Kamata kamata kamatika kamata
Kamata kamata mpaka chini kamata
 
Eeh kama gari ile vuum vuum (Vuum Vuum)
Mtoto mkali mchum chum (Chum chum)
Ikiwa ngangari ile ngumu ngumu (Ngumu ngumu)
Nenda kamchinjie mbali kwa room room
 
Sa twende kamata kama unaisakata
Nyuma kwa bambata ile kinoma
Tegeta tabata fanya unaifatata
Za mbuzi kakataa amegoma (Aiiih)
 
Katikati chini chini (Kamata)
Kasi kasi speed 12o (Kamata)
Eeh kama unamenya ndizi (Kamata)
Police anashika mwizi (Kamata)
 
Aah mah ya leo kiboko
Mwali kanipa nyama kwa kisamvu cha kopo
Ana komesha toto
Nami naleta nyundo nimtwange kokoto
 
Nasema kamata kamata kamatika kamata
Kamata kamata mpaka chini kamata
Kamata kamata kamatika kamata
Kamata kamata mpaka chini kamata
 

Понравилась песня? Будем очень благодарны, если вы расскажете о ней друзьям:



Послушать песню и посмотреть клип "Kamata"

Видеоклипы к песне подбираются автоматически сайтом youtube.com. Отказ от ответственности

Текст песни Diamond Platnumz Kamata предоставлен в ознакомительных целях для личного развития.