Тексты и переводы песен

Pamela

Kwanza kako sex, Pamela!
Kiuno kama kazaliwa Congo
Ebu ni ka date, Pamela!
Mikogo kama samaki kamongo
Chumbani ni karate, Pamela!
Vurugu kama show za Manfongo
Navopenda deki, Pamela!
Ulimi shingoni mpaka kwa mgongo
 
Eeeh!
Katoto katamu tamu
Kanapendaga pipi na chewing gum (anhaa!)
Kimoko nacum cum
Kitanda kwichikwichi ni Bum Bum (anhaa!)
Eeeh!
 
Oh najua maana ya penzi burudani
Na ndio maana nakupa kokote
Singoji mpaka kitandani
Aaaah yeah (Pamela!)
Oooh! Oh! Oh! (Pamela!)
 
Pamela!
She is hotter than fire
Pamela!
Ukimuona utagwaya
Pamela!
Zigo lazima ntafire
Pamela!
Na kapenda ile mbaya
Pamela!
 
Aiiiy!
Eeh my heart ooh!
She de skata my heart ooh!
Pamela!
Eeh my heart ooh!
Kanaumiza my heart ooh!
 
Nilikutana nako Mbagala
Kwa kina Lufufu Mkandala
Mtoto mwali kidandala
Mtamu kwa nguna na sangala
Ooooh naa!
 
Anavyopose mchokozi
Nikiwa namwaga dose
Napocheza na ngozi, hunikosi
Pamela!
Mpaka majonzi kwa njozi
Utamu kwa utosi
Sinaga ubitozi ni konzi
Pamela!
 
Oh najua maana ya penzi burudani (ooh, oh!)
Na ndio maana nakupa kokote
Singoji mpaka kitandani
Eeeeh yeah! (Pamela!)
Oooh! Oh! Oh! (Pamela!)
 
Pamela!
She is hotter than fire
Pamela!
Ukimuona utagwaya
Pamela!
Zigo lazima ntafire
Pamela!
Na kapenda ile mbaya
Pamela!
 
[Young Killer]
Huh!
Mwenye mdomo wa kulamba koni
Napozi za picha
Na moyoni nimekuficha
Picha ya mapicha picha
Wazushi wanayonipa nipa
Hayaumizi kichwa kichwa
Wala kunitisha
Usije nikatisha mood (mood)
Kwa kufanya kusudi (kusudi)
Ukaanza tena usiku na mchana ma nenda rudi (rudi mama)
Kifuani sita tumbo hauna
Na ukikatika ndio kabisa Naumwa (heheheh)
Njoo tucheze kibaku baku (Pamela!)
Tuwakomeshe manyaku nyaku (Pamela!)
Ukate taratibu yani nyatu nyatu (Pamela!)
Kitandani unimeze ile kichatu chatu
Sikufichi namiss kumuchezo kako kila mara
Na ndio maana huwa napita pekupeku bila Ndala
Show ndefu kwa body Nang'ala Ng'ala
Navuruga shape mwisho unabaki unagalagala
Msodoki.....!
 
Eeeh Eh!
Pamelaaaa!
Oooh oh!
Pamela!
 
She is hotter than fire
Pamela!
Ukimuona utagwaya
Pamela!
Zigo lazima ntafire
Pamela!
Na kapenda ile mbaya
Pamela!
 
Nakupenda sana!
(Wasafi Records)
 
Eeeh! Eeeh! Eeeh!
Wasafi!
 

Понравилась песня? Будем очень благодарны, если вы расскажете о ней друзьям:



Послушать песню и посмотреть клип "Pamela"

Видеоклипы к песне подбираются автоматически сайтом youtube.com. Отказ от ответственности

Текст песни Diamond Platnumz Pamela предоставлен в ознакомительных целях для личного развития.